AJIRA: MWALIMU GEOGRAPHY-HISTORY

Kekule Wa Benzene Ring

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
277
Reaction score
1,180
Urgent anahitajika Mwalimu WA masomo ya Geography na History ngazi ya Shahada.

Shule IPO Mbeya Mjini. Mwalimu awe mahiri na mwenye uwezo wa kufundisha na kutoa Matokeo mazuri.

Mshahara ngazi ya serikali na Kuna marupurupu ya ziada.

Mawasiliano: 0655087675
Ni vizuri Mwalimu akiwa jirani na mkoa WA Mbeya ila kama unajiamini kuwa utapita kwenye interview unaweza omba hata ukiwa mkoa wowote Ule Tanzania Kwa gharama zako za maradhi na usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…