Ajira Mpya Za Walimu Ni Kama Kesi Ya Lulu.

MR.MAMBA

Member
Jan 31, 2013
5
1
Jamani Naombeni Ushauli: Nimetimuliwa Hom Sasa Naishi Maisha taiti Wanahisi Nilifeli Mtihani Ndomaana Sjapata Kazi. Nawaambia Post Hazjatoka Lakni Hawaamin! Noma Zaid Gazeti La Mwananchi Lilpoandika SERIKALI YAMWAGA AJIRA KWA WALIMU Ndo Nikafngashiwa Vrago
 
Na bado mkuu wa nchi anasisitiza kuwa ajira ni tatizo isipokuwa kwa sekta 2,elimu na afya.
 
Mkuu kwa anayehitaji namba ya mh. mulugo atumie 0784375922 na 0754315922
 
Jamani Naombeni Ushauli: Nimetimuliwa Hom Sasa Naishi Maisha taiti Wanahisi Nilifeli Mtihani Ndomaana Sjapata Kazi. Nawaambia Post Hazjatoka Lakni Hawaamin! Noma Zaid Gazeti La Mwananchi Lilpoandika SERIKALI YAMWAGA AJIRA KWA WALIMU Ndo Nikafngashiwa Vrago
Mkuu kama wewe ni mwalimu mbona tempo zipo kibao kwenye shule za kata na kuweza kupata kama 200,000/= per month na siku inaenda wakati ukiendelea kumsikilizia mulugo atangaze kazi za ualimu
 
Ee bwana pole sana, unapaswa tu kuvumilia hii ndo serikali yako uliyoiweka madarakani ila nina imani huu mwezi utapangiwa kituo cha kazi
 
Jamani Naombeni Ushauli: Nimetimuliwa Hom Sasa Naishi Maisha taiti Wanahisi Nilifeli Mtihani Ndomaana Sjapata Kazi. Nawaambia Post Hazjatoka Lakni Hawaamin! Noma Zaid Gazeti La Mwananchi Lilpoandika SERIKALI YAMWAGA AJIRA KWA WALIMU Ndo Nikafngashiwa Vrago

Hao walio kutimua wanaishi nchi gani? Taarifa kwao ni utata kuzipata??
 
Nimezungumza na waziri kawambwa ajira zinatangazwa kesho jumatano na tovuti ya wizara imeshafunguliwa hii ni kutokana na jitihada zangu kama mdau kwa lolote mawazo maoni yatatangazwa saa ngapi nipigie 0657846028,vijijini kumepewa kipaumbele sana na jiandaeni tarehe 21 kuripoti
 
Nurdin Stambuli
mh. waziri pole na majukumu ya kazi za utendaji wa kuhakikisha unaboresha elimu nchini,nilikuwa nauliza ajira za walimu lini zitatoka maana mh.raisi aliahidi januari ajira zingekuwa tayari ila hadi leo feb 1 serikali hamtoi majibu,pia kwanini website ya wizara ya elimu imefungwa kwa kushindwa kulipiwa naomba ulisimamie hili mbunge wangu wananchi wanalalamika sana,na ni kheri kutoa tamko lini ajira zitatoka ili walimu hawa wapya wawe na ari katika ufundishaji.
from:www.nastaboy.blogspot.com
 
HII NI MESSAGE NILIYOKUWA NIMEMTUMIA MHESHIMIWA WAZIRI NA SASA HAYA NDIO MAJIBU,NILIWAAMBIA VIJANA KUWENI NA SUBIRA HADI SASA SAA NANE KASORO USIKU WAZIRI ANANIHAKIKISHIA KESHO AJIRA ZINATANGAZWA WALIMU MTAJUA VITUO,KAMA UNA SHAKA MASWALI NIULIZE KUPITIA 0657846028 NA TEMBELEENI nastaboy.blogspot.com
 
Shukuru Kawambwa
Bahati mbaya tulichelewa kwa sababu zisizozuilika. Lakini kesho Jumatano, mambo yote kwenye bomba. Tega sikio. Hatukumuacha mtu. Tunawataka waalimu wote!! Lakini wasikwepe shule za vijijini, watoto wanawahitaji sana huko. Tupo pamoja.
Tovuti ya wizara sasa inafanya kazi. Nitazingatia maoni yako. Kila la kheri. huu ndo ujumbe wa waziri wa elimu kwangu mimi bwana stambuli nurudini mdau wa elimu na mwandishi binafsi niliewasumbua sana wabunge na wizara pia kujua muafaka wa ajira za walimu,naomba mkafundishe kwa moyo mjitume mtumie utu muheshimu jamii mnazokwenda kuishi nazo,mkawe walimu kwa mfano,waelekezeni watoto na waleeni katika maadili yapasayo na pia heshimuni kazi yenu na ipendeni,kila la kheri walimu,nasisitiza tuwasiliane kwa 0657846028 na email stambulin1991@gmail.com
 
Back
Top Bottom