Ajira mpya za walimu 2016.

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Kama ww ni mwalimu wa muda mrefu na Tunaotarajiwa kuajiriwa mwaka ujao,Tunaomba Maoni, Ushauri, na Mtazamo wako ili tueze kuendane na kauli mbiu ya hapa kazi tu.
 
Hakuna ajira mwaka kesho,najua utakataa lakni hautosadiki kitakachotokea.
 
Kama ww ni mwalimu wa muda mrefu na Tunaotarajiwa kuajiriwa mwaka ujao,Tunaomba Maoni, Ushauri, na Mtazamo wako ili tueze kuendane na kauli mbiu ya hapa kazi tu.

Usijali ajira utapata isipokua tu jiandae kwenda kijijini mkuu ila usijali kuna maisha baada ya ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…