Jaman kuna tetes eti post za walimu mwaka huu zitatolewa octoba? kama kuna anayejua ukwel tafadhal..
Ifike sehemu watu wapende
kufata na kujua taratibu za serikali. Serikali kwa mwaka huu 2013
hawawezi kuajiri walimu . Waalimu walioripoti vituoni Mwezi March,
bajeti yao ni ya 2012/2013. Kwahiyo, waalimu wengine, yaani ajira mpya
lazima wasubiri bajeti ya serikali 2013/2014. Usidanganyike, kwa mwaka
huu ajira zenu hazipo, mapema mwakani sawa.
Ifike sehemu watu wapende kufata na kujua taratibu za serikali. Serikali kwa mwaka huu 2013 hawawezi kuajiri walimu . Waalimu walioripoti vituoni Mwezi March, bajeti yao ni ya 2012/2013. Kwahiyo, waalimu wengine, yaani ajira mpya lazima wasubiri bajeti ya serikali 2013/2014. Usidanganyike, kwa mwaka huu ajira zenu hazipo, mapema mwakani sawa.
tuendelee..
Kama umesema walimu wapya wataajiriwa katika budget ya 2013/14, sisi tunavyofahamu vikao vya budget ni hadi mwaka 2014 mwezi wa june. Kama ndio hivo, basi ajira zitatoka kuanzia mwezi wa 7 na kuendelea.
kwa mujibu wa naibu wazir wa nchi ofisi ya pinda anayeshughulikia elimu amesema ajira za walimu ni january na wataajiri walimu 26elfu.
Source - habari leo tar 23dec
wala si kweli mi nijuavyo kuna sifa mbili za kusomea ualimu1:kufail 2:umasikini,hayo uyasemayo unajikosha tu,we kama una akiri timamu mwajiri anakuambia hukuona kazi nyingine nawe umo tu,nina wasiwasi na akili za watu wnaosomea ualimu.mfano halisi ni mimi! sijasomea ualimu eti kwa kuwa nilikosa mishe zingine.. nilifanya vizuri tu o level na a-level..
wala si kweli mi nijuavyo kuna sifa mbili za kusomea ualimu1:kufail 2:umasikini,hayo uyasemayo unajikosha tu,we kama una akiri timamu mwajiri anakuambia hukuona kazi nyingine nawe umo tu,nina wasiwasi na akili za watu wnaosomea ualimu.
subira huvuta heriHaha haa.. :iamwithstupid:
:focus:
Kwahiyo taarifa za uhakika ni kwamba walimu soon wanaajiriwa.
haya mambo ya ajabu kweli msomi mzima una kaa kusubiri kuajiriwa,wakati upo chuo ulikuwa unatwanga pombe tu boom likiingia,kwanza niaibu na ufinyu wa fikra.mi wakati nipo chuo nilianzisha project ya kutengeneza sabuni kwa sasa kampuni imekua si kawaida inaingiza zaidi ya million 160 kwa mwezi,mtu akinambia habari za kuajiriwa namwona chizi kabisa.
Hongera karema ....maisha ni mchakato kama we ulifanikiwa mshukuru Mungu usijisifu wala usidharau wengine ambao hawajafikia kwenye nafasi uliyonayo sasa. pole pia kwa kuwa hapo ulipo bila hao waliofeli na walio maskini usingefundishwa. Jaribu kuwaza chanya kwa kila kitu.