wana jf najitokeza kuuliza kwe yeyote mwenye taarifa ama tetesi za lini ajira za ualimu kwa ngazi zote zitatoka lini anijuze maana huku mtaani maisha yanakaba mpaka bhasi... ni hayo tu ndg zangun wana jf.
Ajira ni mpaka mwakani na Hakuna ajira za direct kama miaka mingine wakuu wa Halmashauri zenu watatupa mapungufu ya wilaya then tutaajiri kwa kufuata mapendekezo yao ..kama umesoma science basi toa hofu Ndugu

Kama ni sayans ucjal mwez april 2016 utapangiwa kituo chako cha kaz ila kama ni art umeumia tafata namna nyingne ya kuish usitegemee ajira serikalin walimu wanagawana topics kutokana na uwing wao.
Bado mapemaa saana.mjomba kua na subira...
Najua kitaa kinakaba ila ndoivo vumilia.. Mwaka jana nimehitimu July 2014 nmekuja kuajiriwa Mei mwaka huu...mwakaa juz ilkua April..
Kama ni sayans ucjal mwez april 2016 utapangiwa kituo chako cha kaz ila kama ni art umeumia tafata namna nyingne ya kuish usitegemee ajira serikalin walimu wanagawana topics kutokana na uwing wao.
Ajira ni mpaka mwakani na Hakuna ajira za direct kama miaka mingine wakuu wa Halmashauri zenu watatupa mapungufu ya wilaya then tutaajiri kwa kufuata mapendekezo yao ..kama umesoma science basi toa hofu Ndugu
Mchakato wa ajira kwa walimu naskia umeshaanza,kwaiyo kufikia January mwishoni tutakuwa na jibu kamili na ni kwa masomo yote ya sayansi na sanaa .chanzo,jamaa mmoja aliyekaribu na wanaofanya taratibu hizi wizarani