ajira mpya serikalini adi february 2013

ajira mpya serikalini adi february 2013

ni ajiraza serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013
 
taja positions

karibue fani zote walimu,nurses,engineering, afisakilimo,doctors,afisa maendeleo,nutrition,wahasibu,etc kila halmashauri,
imepangiwa idadi ya kuajili
 
safi sana..
 
First year wa MUHAS siku hizi wasumbufu sana. Source eti yeye mwenyewe!!!
 
unaweza kutupa reference tucheki kila halmashauri itaajiri wangapi?
 
First year wa MUHAS siku hizi wasumbufu sana. Source eti yeye mwenyewe!!!

nikikutajia wadhifa wangu utachanganyikiwa,anyway way nimekuelewa ,source barua zilizotawanywa halmashauri mbali mbali nchini
 
Bado uko shule dogo soma! Uzuri nakujua!
 
mkuu GOOGLE ni kweli unamfahamu jamaa au zuga tu?wenzio wanataka kujipanga kwa hiyo february kama kwenda kwa babu loliondo waende na mambo ka hizo!!!!
 
Achana naye huyu dent' Boss gani hajui hata kujieleza, et source yeye mwenyewe, namfahamu.
 
nikikutajia wadhifa wangu utachanganyikiwa,anyway way nimekuelewa ,source barua zilizotawanywa halmashauri mbali mbali nchini

Mbona hii habari inakuja vipande vipande..mkuu unatumia simu ya mchina nini? Mimi nimechoka, wanaotafuta ajira endeleeni kuwa wavumilivu na kila la heri.
 
Hayo ni maoni yako...Kwa Tz inawezekana ikawa zaidi ya hapo mbona? Unpredictable country, Wounderfu countries
 
source mimi mwenyewe
Wabongo lawama nyingi za nini? Mtu kakugea tetesi,kama kweli una shida zifanyie kazi. Kuna mambo mengine hayajawa wazi bado,yapokee hivyohivyo nyuma ya pazia yasipo kuwepo si basi.
 
Back
Top Bottom