Ajira kwenye internet

Joined
Jun 27, 2012
Posts
5
Reaction score
1
Ndugu wa Jf usipuuze fursa hii. PERFECT APPLICATION wanakulipa kila utumiapo internet. Pata zaid ya Dola 5000 kwa mwez kila utumiapo PERFECT APPLICATION. Hakika hii siya kukosa, uwe ofsini, nyumbani au popote pale. Nirahisi sana kutumia; chamsingi uwe na computer au simu yenye internet. Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga tembelea http//www.perfectapp.biz/?refid=eb3a349ed
 
Haya mkuu, naona una reference id kabisa pale... Hawa jamaa ukisema unakuja ku earn first payment itakua mwaka mzima na hapo utakua umejitahidi sana umepata $10 tu... mimi siwatofautishi na spam sema hawa ni spam of the first order, wajanja sana
 


Nimetetoka huko siioni kitu. http.com
 
Mwishowe upate virus bure,unaclick unatoka na virus,siweziclick kamwe.
 
Vijana wa bongo hii jamani tufanye kaziiiiiiiiiiii vya bure gharama pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…