HKigwangalla
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 722
- 971
Mbona misemo ya kijinga imewajaa sana....kutwa mna quote watu ktk nchi zenye fikra na maadili tofauti na nyie?Sasa mmeacha ku quote kwa wajamaa wenzenu?Hembu muache tutia kichefuchefu bhana...CCM ni wepesi kupandisha mizuka ktk vitu vya hovyo.Elimu Elimu na ambilioni ya Lowasa masaia wanasomeshwa kwa hela za misaada ya wazungu na makanisa hadi leo?Ujamaa ni laana..wajamaa wote huwa hawajui wanachosema,wanachoamini wanapotoka au wanapokwenda..huwa ni wadandia hoja .Kwa vile ubunifu wao umeishia kuangalia magharibi na kutafuta cha kupinga kwa mdomo na sheria kwa wengine ,ila wao kiutendaji wanayataka maisha ya kimagahribi bila jasho.Ajira Kwanza Vs Elimu Kwanza...Mwaka 1994, Bwana Tony Blair alikuwa kiongozi mkuu wa upinzani Bungeni. Mwaka 1997 alikiwezesha chama chake kushinda nafasi ya uwaziri mkuu, na yeye akawa waziri mkuu. Aliweka kipaumbele cha kwanza, elimu, cha pili, elimu na cha tatu elimu. Mhe. Edward Lowassa jana ameeleza kuwa #AjiraKwanza siyo muhimu, na badala yake #ElimuKwanza ndiyo. Mjadala wa ajenda ndiyo haswa unahitajika kwenye majukwaa ya siasa zetu katika zama hizi. Sikubaliani naye kabisa. Nikiamini mfano anaoiga haukai kwenye ulinganifu sawia, sababu, Uingereza ya mwaka 1997, Mei, Bw. Blair alipoingia madarakani ni tofauti sana na Tanzania ya 2015. Uingereza ya Bwana Blair haikuwa na changamoto ya usalama wa chakula, changamoto ya ajira na wala changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi na ukosefu wa mvua kama Tanzania yetu ya 2015. Pamoja na kuthamini elimu na ukombozi wote unaokuja nayo, bado tu ukweli utabakia kwamba mtu hauwezi kupeleka shule mtoto mwenye njaa! Ama hauwezi kulipa ada ya shule wakati nyumbani hauna uhakika wa chakula. Msingi wa pendekezo la kipaumbele changu cha #AjiraKwanza ni kwamba, kwa vyovyote vile ni lazima tupambane kuondoa umaskini na kukuza uchumi kwa malengo ya kuzalisha ajira za kutosha. Na ili tufikie malengo yetu kwa haraka, ajira tunazotakiwa kuzalisha zinapaswa zitokane na kilimo, viwanda vidogo vidogo vyenye linkage na kilimo na kuimarisha masoko ya bidhaa za shambani na za viwanda vyenye uhusiano wa moja kwa moja na kilimo. Tukifanya haya tutaajiri watu wengi zaidi, tutajihakikishia uhakika wa chakula, tukikuza biashara ya ndani tutakusanya kodi kwa watu wengi zaidi na uchumi ukiimarika ndipo sasa tutaweza kuboresha huduma za elimu, afya na maji kwa uhakika zaidi, tutakuza uchumi kwa haraka zaidi na uchumi utawagusa watu wengi kwa mara moja, tutapunguza uagizaji wa bidhaa toka nje - zaidi ya yote haya, hili ni wazo linalotekelezeka!
Ajira Kwanza Vs Elimu Kwanza...
Mwaka 1994, Bwana Tony Blair alikuwa kiongozi mkuu wa upinzani Bungeni. Mwaka 1997 alikiwezesha chama chake kushinda nafasi ya uwaziri mkuu, na yeye akawa waziri mkuu. Aliweka kipaumbele cha kwanza, elimu, cha pili, elimu na cha tatu elimu. Mhe. Edward Lowassa jana ameeleza kuwa #AjiraKwanza siyo muhimu, na badala yake #ElimuKwanza ndiyo. Mjadala wa ajenda ndiyo haswa unahitajika kwenye majukwaa ya siasa zetu katika zama hizi. Sikubaliani naye kabisa. Nikiamini mfano anaoiga haukai kwenye ulinganifu sawia, sababu, Uingereza ya mwaka 1997, Mei, Bw. Blair alipoingia madarakani ni tofauti sana na Tanzania ya 2015. Uingereza ya Bwana Blair haikuwa na changamoto ya usalama wa chakula, changamoto ya ajira na wala changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi na ukosefu wa mvua kama Tanzania yetu ya 2015. Pamoja na kuthamini elimu na ukombozi wote unaokuja nayo, bado tu ukweli utabakia kwamba mtu hauwezi kupeleka shule mtoto mwenye njaa! Ama hauwezi kulipa ada ya shule wakati nyumbani hauna uhakika wa chakula.
Msingi wa pendekezo la kipaumbele changu cha #AjiraKwanza ni kwamba, kwa vyovyote vile ni lazima tupambane kuondoa umaskini na kukuza uchumi kwa malengo ya kuzalisha ajira za kutosha. Na ili tufikie malengo yetu kwa haraka, ajira tunazotakiwa kuzalisha zinapaswa zitokane na kilimo, viwanda vidogo vidogo vyenye linkage na kilimo na kuimarisha masoko ya bidhaa za shambani na za viwanda vyenye uhusiano wa moja kwa moja na kilimo. Tukifanya haya tutaajiri watu wengi zaidi, tutajihakikishia uhakika wa chakula, tukikuza biashara ya ndani tutakusanya kodi kwa watu wengi zaidi na uchumi ukiimarika ndipo sasa tutaweza kuboresha huduma za elimu, afya na maji kwa uhakika zaidi, tutakuza uchumi kwa haraka zaidi na uchumi utawagusa watu wengi kwa mara moja, tutapunguza uagizaji wa bidhaa toka nje - zaidi ya yote haya, hili ni wazo linalotekelezeka!
NI nchi imetushinda tuu si kila mtu lazim awe na elimu ili maisha yawe mazuri, hata hayo maccm yaliyosoma hayajaweza jikomboa hata pale yalipoiba hela nyingi.Yamekuwa na elimu na hela ila bado maisha kwao ni magumu achilia mbali ymekuwa ni tatizo kwa wengine waliokosa hivyo vitu.una ajiri vipi watu wasiokuwa na elimu?
Sasa km wao wana elimu na hela walizotuibia ila bado wamebaki kuwa tatizo ktk majimbo yao?Elimu wanayoiongelea ni ipi?Huyu Jamaa na wenzie naona wamegraduate ktk kuwapa shida watu ktk majimbo yao sasa wanataka eneza shida kwa watanzania.Ongea ni nini utaifanyia nchi, na si kutafuta umaarufu kwa mgongo wa mgombea mwingine. #kampenidhaifu