Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,256
- 3,892
hivi kwa mtu aliyepata mafunzo ya cctv camera,fire alarm systems, intruder na other security system,
hivi soko lake la ajira limekaa vipi, maana nafikiria kufanya kazi nyingine tofauti na hii, kwa mliopitia hebu tujuzanee
hivi soko lake la ajira limekaa vipi, maana nafikiria kufanya kazi nyingine tofauti na hii, kwa mliopitia hebu tujuzanee