Ajira kwa waliopo Ughaibuni

Ajira kwa waliopo Ughaibuni

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
9,231
Reaction score
10,468
Job description:
Are you looking for an Exciting new challenge?

Looking to work flexible hours in a freelance role that suits your lifestyle?
If you’re customer focused and motivated to work then we’d love to hear from you!
Here are just some of the benefits of working as a freelance Interpreter with Silent Sounds:
Working flexible hours that suit you, day, evening, and weekends
Assignments in many sectors such as health/local government/legal
Be part of an ever growing community of freelance linguists
Competitive rates
To meet our criteria you need to have extensive public service interpreting experience, proficient English, a valid DBS (CRB), a minimum qualification level 3 community interpreting.
Depending on your qualifications, experience and availability we will be able to offer you wide variety of assignments.
All applicants must be based in the UK.

Freelance Swahili Interpreters Wanted in London | London, UK and Europe | Top Language Jobs
 
kumbe ughaibuni kuna ajira hivi... ila huwa napata shida sana kuona walipo huko wakiwaambia wa huku kuwa hakuna ajira...

na katika hizi ajira za kiswahili huwa wanasema kabisa mtu kutoka kenya na tanzania ndio wana mhitaji zaidi... kwa kuwa kiswahili huko ndipo kina zungumzwa zaidi...
 
Ajira ni nyingi sana hata ukitaka kufanya kazi tatu ni wewe na nguvu yako tu
Na hii ya ukalimani inapatikana na mshahara unaanza na £16 -£36 kwa saa moja. 48,000- 108000 ya tz kwa saa
Kama ukichukua diploma ndio unalipwa hiyo £36
Ukalimani sio kiswahili tu
Mimi naongea lugha 4 na nimezifanyia kazi 3 na kulipwa vizuri tu
 
Hongera mkuu, lakini ungeweza saidia na watanzania wenzako... walio na shida ya kupata ajira... au kwanini usianzishe kampuni yako na kutafuta ajira huko ughaibuni alafu una kuja kuchukua cheap labour huku ili kujaribu kupunguza tatizo la ajira na vile vile kuwasaidia kwa namna moja au nyingine...

wanao angaika ni wengi... ila wa kuweza kuwashika mkono ndio hamna... kwanini kisifanyike hiki kitu... kukawa na kampuni ikasajiriwa Uko ulipo na huku kukawa na tawi au huku na huko kukawa na tawi... na kujaribu kuprocure kazi ambazo una weza ingia nao mkataba kwa kuwa tafutia wafanyakazi au kutafuta wewe wafanyakazi na ukawa wewe una walipa wafanyakazi wako

mf. huku tz kuna makampuni ya ulinzi, usafi na wewe waweza anzisha huko na kutangaza offer yako kwa utakae muajiri... wakupigie kazi...

ni maoni tu mdau...
 
Wazo zuri, tatizo sheria zao ngumu mno.
 
hazi ruhusu wageni kufanya hizo kazi? au wapi kuna mkwamo ndg. ili tuone wapi panaweza kusaidika kama itawezekana
Ni ngumu kuchukua wafanyakazi kutoka nje ya nchi kwa sababu wapo wengi hapa
Kwa uarabuni hilo lipo sana.
Kwa huku wameingia sana eastern Europe
Wanapiga kazi kama hawana akili
 
hazi ruhusu wageni kufanya hizo kazi? au wapi kuna mkwamo ndg. ili tuone wapi panaweza kusaidika kama itawezekana
Kufanya kama hivyo ulivyosema, kuorganise na kuchukua watu na kuwafanyisha kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom