Naba kujua kama kuna post zozote za walim kwenda kusoma kama zimetika kwa sisi tuliomaliza na kupata dvn 111 jaman...maana nimeaply lakin hakuna jina langu jaman nikiwa naangalia katika ukurasa huo.
Sasa je,, majina yametoka??? Naomben msaada wenu wana jf.