20% ya mshahara wa kwanza au kila mshahara?Kwa wanaohotaji kazi ng'ambo ya nchi.
Wanahitajika watu wa kazi zifuatazo taasisi mbalimbali nchini KUWAIT.
1. Cleaners ( 100 )
2. Security Guard ( 80 )
3. Light drivers ( 50 )
Kampuni inatoa huduma zifuatazo;
+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food
+ 2 years contract
Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.
Sharti
1. Uwe na pass ya kusafiria
2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.
Karibu.
Umechanganya kwd moja ni around 7600 ya madafu so 190 ni around 1.4mHio 190KD ni sawa na dola 58.
so mshahara haufiko hata laki na nusu
Hilo neno lina maana gani kwa kiswahili please tusaidie sie waswahili tupate kuelewaNawaonya HUSITHUBUTU,narudia HUSITHUBUTU,nasisitiza HUSITHUBUTU,nakazia HUSITHUBUTU kwenda huko bila kuunganishwa na mtu unayemjua wewe mwenyewe
Jpili njema ila msisahu ilo neno lenya herufi kubwa.
Hapo yanayo hitajika ni:Kwa wanaohotaji kazi ng'ambo ya nchi.
Wanahitajika watu wa kazi zifuatazo taasisi mbalimbali nchini KUWAIT.
1. Cleaners ( 100 )
2. Security Guard ( 80 )
3. Light drivers ( 50 )
Kampuni inatoa huduma zifuatazo;
+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food
+ 2 years contract
Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.
Sharti
1. Uwe na pass ya kusafiria
2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.
Karibu.
Umechanganya kwd moja ni around 7600 ya madafu so 190 ni around 1.4m
Ukipata VISA na Ukasaini Mkataba ndio unatoa 20% ya huo mkataba wako. Hapo shida iko wapi ndugu?
๐ ๐ ๐ ๐Hapo yanayo hitajika ni:
1. Figo
2. na viungo vingine muhimu vya BINADAMU
Wasipokuelewa hapa,achana naoHapo yanayo hitajika ni:
1. Figo
2. na viungo vingine muhimu vya BINADAMU
You know nothing, why you speak loudly?Wajumbaa msijaribuu hio kituu bora upige debe apa bongoo narudia tena DONT DARE
Mkuu acha kutetea ujinga ili upige hela.You know nothing, why you speak loudly?
Wala hakuna unyanyasaji kama kule Oman.huko ni amani tu ila kwa ushauri ni bora ukanunua kabisa pampas zako uende nazo maana huko bei ya pampas ipo juu sana.Huko hakuna unyanyasaji kama kule Oman?
๐๐๐๐Wala hakuna unyanyasaji kama kule Oman.huko ni amani tu ila kwa ushauri ni bora ukanunua kabisa pampas zako uende nazo maana huko bei ya pampas ipo juu sana.