Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Kwa wanaohotaji kazi ng'ambo ya nchi.
Wanahitajika watu wa kazi zifuatazo taasisi mbalimbali nchini KUWAIT.
1. Cleaners (100)
2. Security Guard (80)
3. Light drivers ( Nafasi 50 )
Kampuni inatoa huduma zifuatazo;
+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food
Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.
Sharti
1. Uwe na pass ya kusafiria
2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.
Karibu.
Sorry brother.Kwa hiyo hapo umeshamaliza tangazo kwamba watu wanatuma maombi kwenye uongozi wa JamiiForums au...?
Kazi hazina qualifications zozote wala website ya hao recruiters hakuna pia...?
Wabongo tujifunze kujiongeza unless kama umeamua kupoteza muda tu kuchangamsha baraza lakini kama kweli upo serious sidhani kama inatakiwa kuwa hivyo ndugu.
Ukipata VISA na Ukasaini Mkataba ndio unatoa 20% ya huo mkataba wako. Hapo shida iko wapi ndugu?Kulipia 20% ya mshahara ambao hata hivyo hujalipwa kabla ya kusafiri? Really, huu si utapeli kwa njia ya kistaarabu? Hizi kazi hawawezi kufanya vijana wasiokuwa na ajira wenyeji wa huko wasio na ajira ama wenye ajira zisizotosheleza mahitaji?
Kiukweli sifahamu changamoto unayoisema hiyo.Huko hakuna unyanyasaji kama kule Oman?
Njoo pm hakikisha umetimiza sharti namba moja la kuwa na pass ya kusafiria. Sitahitaji usumbufu kwenye hilo.Toa utaratibu wa maombi nahitaji
Njoo pm hakikisha umetimiza sharti namba moja la kuwa na pass ya kusafiria. Sitahitaji usumbufu kwenye hilo.
Ngoja niwaombe website yao boss.Kiongozi kwani ukiweka website ya hao wanaotaka wafanyakazi wee utapungukiwa nini mkuu...?
Hio 190KD ni sawa na dola 58.Kwa wanaohotaji kazi ng'ambo ya nchi.
Wanahitajika watu wa kazi zifuatazo taasisi mbalimbali nchini KUWAIT.
1. Cleaners ( 100 )
2. Security Guard ( 80 )
3. Light drivers ( 50 )
Kampuni inatoa huduma zifuatazo;
+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food
+ 2 years contract
Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.
Sharti
1. Uwe na pass ya kusafiria
2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.
Karibu.
Sorry brother.
1.Kwa upande wa dereva uwe na leseni yako na uwe kweli umepata mafunzo ya udereva hapa nchini.
2. Kuhusu ulinzi na usafi hakuna taaluma inayohitajika.
NB
Masharti kuzingatiwa.
BrotherHio 190KD ni sawa na dola 58.
so mshahara haufiko hata laki na nusu
Au nenda Bank yoyote hapa Tanzania uangalie exchange rate ya KD na Tsh. ndio ujiweze kusemea jambo.Hio 190KD ni sawa na dola 58.
so mshahara haufiko hata laki na nusu
Yuko sawa ikiwa nae ni wakala, nadhani kafanya hivi ili apate zile 20%Kwa hiyo hapo umeshamaliza tangazo kwamba watu wanatuma maombi kwenye uongozi wa JamiiForums au...?