Jamani naombeni msaada. mwezi uliopita tuliandika barua za ajira selikalini. Mwenye tetesi, je ni lini majibu yetu.
tunasota sana mtaani.
CEREALS & OTHER PRODUCE BOARD walifanya Intavyuu yao chuo cha Utalii Temeke Mwembe Yangaasanteni jamani kwa majibu mazuri. nitaendelea kusubiri
CEREALS & OTHER PRODUCE BOARD walifanya Intavyuu yao chuo cha Utalii Temeke Mwembe Yanga[/QUOTE
ndio hii alifanya dogo,walikuwa zaidi ya 80 na walitakiwa 4!
Walipita 15 out of 80 ambao walifanya "oral" kesho yake.ndio hii alifanya dogo,walikuwa zaidi ya 80 na walitakiwa 4!