Wakujibwea45
Member
- Oct 8, 2021
- 64
- 54
Shukrani, nimekuelewa na uliyoyasema nayajua vizuri tu ila bado hujajibu nilichouliza. Nilitaka kujua kama watu walioapply wameitwa kwenda kweny kozi na km ndo ivyo basi hakuna usaili na kama washaitwa njia gani imetumika labda kupigiwa simu direct au vipi na km kuna mtu anajua mtu flan yupo kozi kupitia izo ajira basi atujuze ili tujue na kama ndo kimya basi tujue ni kazi za kisiasa zilizo na lengo la kupumbaza watu kujua kuwa ajira zinatoka kumbe ajira hewaSahau kuhusu kua Soldier.
Unajua nilijaribu kufanya uchunguzi binafsi kabla ya kuingia ktk Biashara,
Mfumo wa Ajira unaitaji Connection.
Na ktk Jeshi ndo usiseme bila Connection utoboi, utaenda kusota uko na kazi haupati.
Soma vizuri au wasikilize Vizuri wanakuambia Kabisa kua hawatoi ajira we unaenda kujitolea.
zingatia point kujitolea sio kupata Ajira.
Mi Binafsi ninavyoona ni mtazamo wangu Jeshi ni kazi kama kazi nyingine neno " UZALENDO" Limewekwa kisiasa zaidi kama hauna ndugu Jeshini kazi ya Jeshi/ Uniform zaJeshi utaishia kuziona kwenye TV, au kuona watu walio na ndugu zao ktk vyombo vya usalama wamevaa gwanda.
Jipambanie Kivingine usipoteze mda wako, hizo kazi zinawenyewe.
Tafuta ridhiki upande mwingineNimekuelewa vizuri sana mkuu na uliyoyasema nayajua vizuri, sema bado hujajibu nilichouliza. Nilitaka kujua kama watu washaitwa kupiga kozi je wameitwa kwa njia gani kupigiwa simu au kama mtu ambae anajua aliapply labda kwa saiv yupo kozi kupitia izo ajira nijue au ndo ajira ambazo zimekaa kisiasa kupumbaza watu kuwa ajira znatoka kumbe ajira hewa.
NdioUnataka kuwa soldier ?
Una refa[ Baba, Mama, Mjomba, Shangazi,rafiki wa karibu sana au ndugu yoyote wa karibu anaye vaa gamba au aliyewahi kuvaa gamba ] ?Ndio
Refa MunguUna refa[ Baba, Mama, Mjomba, Shangazi,rafiki wa karibu sana au ndugu yoyote wa karibu anaye vaa gamba au aliyewahi kuvaa gamba ] ?
Endelea kusubiri atakupa connection.Refa Mungu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Endelea kusubiri atakupa connection.
Jeshini kuna kitu kinaitwa Baba kanituma[simu toka makao] sasa sijui wewe utawaambia maafande mungu kanituma ?!.
Wote walioajiriwa ni Baba kanituma sioEndelea kusubiri atakupa connection.
Jeshini kuna kitu kinaitwa Baba kanituma[simu toka makao] sasa sijui wewe utawaambia maafande mungu kanituma ?!.
Huko wanaajiriwa ndugu zaoJWTZ walitoa ajira kama mara 2 hivi lakini hakuna hata moja niliyoona watu wakiitwa kwenye usaili. Ya kwanza kuna ile ambayo walitoa wakasema ni kwa ajili ya watu ambao mkataba wao umeshaisha na wapo majumbani ambayo ilikuwa mwaka jana 2023 mwishoni au mwaka huu 2024 mwanzoni kama sikosei na ya pili ya mwaka huu 2024 wakasema waliomaliza mikataba na wapo uraian,mujibu wa sheria na OP flan sikumbuki vzr ni OP gani?
Sasa swali langu ni kwamba watu huwa wanaitwa kwa kupigiwa simu bila ya kutoa majina mtandaon au njia gani inatumika au labda ni ajira ambazo ziko kimkakati an kisiasa zaidi?
πππππEndelea kusubiri atakupa connection.
Jeshini kuna kitu kinaitwa Baba kanituma[simu toka makao] sasa sijui wewe utawaambia maafande mungu kanituma ?!.
Dahπ πEndelea kusubiri atakupa connection.
Jeshini kuna kitu kinaitwa Baba kanituma[simu toka makao] sasa sijui wewe utawaambia maafande mungu kanituma ?!.