dicksonmsele33
Member
- Oct 20, 2017
- 20
- 18
frends habr zenu Leo mapema kymetangazwa kuanzishwa kwa kampun ya kutengeneza simu , ipad na computer kwa ushirikiano wa kampun ya touhmate kutoka Japan na Reginald meng sasa wapendwa kampun hyo itaanza kaz baad ya miez mitatu sasa nilichokua naomba kufaham kutoka kwen n jinsi gan mtu anaweza omba kaz na kma bdo hawajatangaza bas wakitangaza tushirikishane maana kwa taarfa nilizo nazo n kwamba kampun itaanza na wafanyakaz 2000 so kwa mwenye kuelewa jinsi ya kuomba nafas ya kaz anisave