mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,481 Reaction score 138,348 Dec 13, 2015 #21 Rwankomezi said: Mkuuu hii huduma yako ni ya bure ama ni malipo.....na ninani anahusika nabutoaji wa huduma hii...mana naona kama inazingua Click to expand... Ina malipo garama yake nia kam sh 200 kama sijakosea chief!
Rwankomezi said: Mkuuu hii huduma yako ni ya bure ama ni malipo.....na ninani anahusika nabutoaji wa huduma hii...mana naona kama inazingua Click to expand... Ina malipo garama yake nia kam sh 200 kama sijakosea chief!
Azathioprine JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 590 Reaction score 381 Dec 13, 2015 #22 Poleni sana ndg wa mhanga wa ajali. Mamlaka husika zitumie hiyo namba kumtambua mhusika wa ajali hiyo.
Poleni sana ndg wa mhanga wa ajali. Mamlaka husika zitumie hiyo namba kumtambua mhusika wa ajali hiyo.
Zekidon JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,903 Reaction score 569 Dec 13, 2015 #23 kedrick said: Duuh kumbe nimekaa kwny jam na baby mda mrefu sana Click to expand... myonyeshe tu baby wako kama analia lia.
kedrick said: Duuh kumbe nimekaa kwny jam na baby mda mrefu sana Click to expand... myonyeshe tu baby wako kama analia lia.
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,345 Reaction score 5,455 Dec 13, 2015 #24 KASHOROBANA said: umenichekesha sana. hapo unataka kutujulisha kuwa unaye baby pia una gari.... dah kweli maskini akipata makalio yake ulia. ..... Click to expand... Acha wivu wewe
KASHOROBANA said: umenichekesha sana. hapo unataka kutujulisha kuwa unaye baby pia una gari.... dah kweli maskini akipata makalio yake ulia. ..... Click to expand... Acha wivu wewe
P pizz15 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 271 Reaction score 150 Dec 13, 2015 #25 Wahusika hatuitaji mrejesho ila tunachohitaji sheria ifuate mkondo namba ya gari imeshatolewa, kazi kwenu. Maana hao wenye Subaru huwa wanaendesha utafikiri wapo kwenye mashindano.
Wahusika hatuitaji mrejesho ila tunachohitaji sheria ifuate mkondo namba ya gari imeshatolewa, kazi kwenu. Maana hao wenye Subaru huwa wanaendesha utafikiri wapo kwenye mashindano.