Hii ajali imetokea katika barabara ya Shinyanga Mwanza. Hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha, dereva na konda wake wamekimbia. Polisi wamefika eneo la tukio, wakasepa. 'Fire' nao wakazima walipoona hakuna cha kuokoa, wakaishia. HAdi napiga picha hii ni masaa 16 tangu ajali itokee.
View attachment 116672View attachment 116676