Ni yaleyale Ma-Lancruiser V8,nilishawahi kuuliza humu JF hivi haya magari yanafuatiliwa ubora wake maana mimi hii ninashuhudia sasa kama ajali ya 20,anyways ngoja tusubirie la Prezidaa lifanye ajali nadhani ndio kutafanyika uchunguzi wa kina,why not Nissan Patrol,why not Land Rovers,why not Range Rovers!ajali ya hizi gari sasa tokea yameingia humu nchini ni too much ingawa sijajua kwa nchi nyingine hali ikoje.