ECES Member Joined Sep 15, 2010 Posts 61 Reaction score 24 Mar 4, 2012 #1 Wakuu habari zenu, npo maeneo ya karibia na mombo hapa kuna lori limepinduka na kuziba barabara hivyo kusababisha foleni kubwa..
Wakuu habari zenu, npo maeneo ya karibia na mombo hapa kuna lori limepinduka na kuziba barabara hivyo kusababisha foleni kubwa..
Royals JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,479 Reaction score 394 Mar 4, 2012 #2 watu wamepona? na kwa kuwa uko kwenye tukio ni nini chanzo cha ajali na kama kuna la ziada?.
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Mar 4, 2012 #3 hiyo ajali walikuwa wanahangaikia kulitoa limrkwamisha magari pande zote..lilibeba maji ya Kiimanjaro
hiyo ajali walikuwa wanahangaikia kulitoa limrkwamisha magari pande zote..lilibeba maji ya Kiimanjaro
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 Mar 4, 2012 #4 Kamanda tupe chanzo na ni gari la kampuni gani na hata ikiwezekani ni aina gani ya gari.
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Mar 4, 2012 #5 Chanzo kikubwa cha ajali Tanzania ni ulevi. Bila ya kukisia.
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 Mar 4, 2012 #6 zomba said: Chanzo kikubwa cha ajali Tanzania ni ulevi. Bila ya kukisia. Click to expand... Jibu lako siyo sahihi zomba! Tafakari tena.
zomba said: Chanzo kikubwa cha ajali Tanzania ni ulevi. Bila ya kukisia. Click to expand... Jibu lako siyo sahihi zomba! Tafakari tena.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,990 Reaction score 19,214 Mar 4, 2012 #7 zomba said: Chanzo kikubwa cha ajali Tanzania ni ulevi. Bila ya kukisia. Click to expand... very true...
zomba said: Chanzo kikubwa cha ajali Tanzania ni ulevi. Bila ya kukisia. Click to expand... very true...
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,990 Reaction score 19,214 Mar 4, 2012 #8 LiverpoolFC said: Jibu lako siyo sahihi zomba! Tafakari tena. Click to expand... kuna ulevi wa aina nyingi, zomba is right!!
LiverpoolFC said: Jibu lako siyo sahihi zomba! Tafakari tena. Click to expand... kuna ulevi wa aina nyingi, zomba is right!!
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Mar 4, 2012 #9 LiverpoolFC said: Jibu lako siyo sahihi zomba! Tafakari tena. Click to expand... Ukilipenda usilipende huo ndio ukweli na ndio linabaki kuwa tatizo sugu la ajali za Tanzania. Si pekee, KUBWA.
LiverpoolFC said: Jibu lako siyo sahihi zomba! Tafakari tena. Click to expand... Ukilipenda usilipende huo ndio ukweli na ndio linabaki kuwa tatizo sugu la ajali za Tanzania. Si pekee, KUBWA.
K Kagalala JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 2,403 Reaction score 1,134 Mar 4, 2012 #10 Ni Tanzania tu ambapo bado watu wanaruhusiwa kuendesha magari wakiwa wamekunywa na kuendesha magari wakiwa wanaongea na simu. Wakati wengi wa madereva barabarani wamepata leseni kupitia kwa wajomba zao polisi.
Ni Tanzania tu ambapo bado watu wanaruhusiwa kuendesha magari wakiwa wamekunywa na kuendesha magari wakiwa wanaongea na simu. Wakati wengi wa madereva barabarani wamepata leseni kupitia kwa wajomba zao polisi.