Ajali

mwalidebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
426
Reaction score
251
Makamu Askofu Wa Jimbo la mashariki Wa Tanzania assemblies of God Na mchungaji kiongozi Wa Temboni TAG Meshack Mafwele amepata ajali wakati akielekea kwenye maombi kanisani ambayo yalikuwa yanaanza saa moja,maeneo ya Mpiji magoe ccm njia panda kuelekea makabe Na mbezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…