K kwizera fm New Member Joined Apr 9, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Apr 18, 2014 #1 Meli ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza ikiwa na wafanyakazi 10 na shehena ya sukari imezama Ziwa Victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile
Meli ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza ikiwa na wafanyakazi 10 na shehena ya sukari imezama Ziwa Victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Apr 18, 2014 #2 Asante kwa taarifa, pole iwaendee ndugu wa waliopatwa na hilo gharika
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Apr 18, 2014 #3 Pichhaaa