Je ni busara kuendeleza uzembe unaosababisha vifo vya raia ; miundombinu duni , Madereva wasio na elimu wala uzoefu , Magari mabovu ; je nani abebe Mzigo wa kubadilisha
Kuku wa kienyeji , siamini Kama lawama ndio inajenga , nimetumia neno badilisha , lakini akili zilivyodumaa kwa lawama ndio maana hatuendelei , na akili yako ni Kama ya Kuku maana umeshindwa kusoma
Kuku wa kienyeji , siamini Kama lawama ndio inajenga , nimetumia neno badilisha , lakini akili zilivyodumaa kwa lawama ndio maana hatuendelei , na akili yako ni Kama ya Kuku maana umeshindwa kusoma
Nashukuru braza, kusema ukweli nina akili kama ya kuku wala hujakosea.
Sema braza hili jukwaa si la mambo ya ajali ni ya tunaotafuta kazi na tenda. Tuna nyege sana na kazi. Sasa unavotuletea mambo ya ajali tunakuona kama wewe ni chizi aliyetoroka milembe.
Nimeku-test hapo juu maksudi, wewe wafaa upelekwe mirembe bado hujapona.