Ajali za barabarani

Ajali za barabarani

The Incognito

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
44
Reaction score
8
Ni muda mrefu sasa ajali za barabarani zinazidi kuongezeka na kupoteza uhai wa watu wengi,sababu kubwa zinazotajwa sana ni uzembe wa madereva pamoja na ubovu wa miundo mbinu.
Lakini sababu nyingine ambayo haitajwi sana ni rushwa iliyokidhiri miongoni mwa taasisi zinazohusika kusimamia usalama wa vyombo vya moto yakiwamo mabasi ya abiria yaendayo mikoani,kinachotakiwa ni kuwaondoa barabarani madereva bandia na leseni zao za kununua bila kusomea hiyo taaluma.
Tuache kuleta siasa katika jambo ambalo linasababisha kupoteza maisha ya watanzania wasio na hatia.
 
polisi walikosa kuitumia fursa ya leseni mpya kuwaondoa madereva kanjanja barabarani. Wakati wa leseni mpya watu waliendelea kununua leseni kama kawaida matokeo yake certificate of competence zikawa zinanunuliwa.

Wameshtuka wanataka madereva waende shule, madereva nao wanashituka ngoma inakuwa drooo

anaibuka mtu na kusema vile vitega uchumi vya tochi viondolewe badala ya kuvitumia kuwabana madereva ili wafuate sheria badala ya kutumika kuwabana ili watoe mlungula.
 
Back
Top Bottom