Kajifunze kwanza uandishi ndio urudi hapa. Walimu kama ninyi ndio mnaofelisha vijana wetu mashuleni. "Ajari" ndio upuuz gain? Half bila aibu eti" mwalimu mwenzangu"
Vyovyote mkuu utakavyoamua kunijibu ila ukitaka zingatia nayokuambia. Mimi hata silumbani na wewe. "ukijisifia una mbio usisahau pia kumsifia anaekukimbiza"