Wanafunzi wapatao wa 5 wafariki dunia, kutokana na ajali hiyo, nawengine zaidi ya 30 majeruhi waperekwa hospitali ya Mkoa!!
Watu wapo bize na kuchangia threads za siasa.ajali hii ingetokea kaskazini ungeona watu wangelivyo taharuki.
mtwara si ipo kaskazin mwa msumbiji? labda kule watakuwa wametahalukWatu wapo bize na kuchangia threads za siasa.ajali hii ingetokea kaskazini ungeona watu wangelivyo taharuki.