Ndugu wana jf kuna nyumba inaungua moto huku temeke,yombo vituka karibu na karakana ya tazara.nyumba iko mtaa wa kiembe samaki.muda wa nusu saa sasa fire bado hawajafika.naomba msaada kama wahusika wanasoma.moto unazidi na kuna uwezekano wa nyumba nyingine kushika.namba 0655222214
Emegence tanesco ndo wanafika ila fire bado
Ndo kwa mana tunahiitaji CHADEMA iingie madarakani ili kuondokana na huu uzembe, kituo cha fire kipo kimoja hivi moto ukitokea Kibamba?bila kuwaondoa nyie wazembe tutaendelea na majanga kila siku.Poleni sana...
Gari ya kwanza imeisha maji
sasa limeingia gari la pili,shughuli ni pevu ndugu kikosi kinapamba na
moto
Hawa Fire hizo elfu
40 za stika walizoanza kukusanya tangia july hawajaongeza hata kituo
kimoja?