Ajali ya gari (roli) yatokea Tarime

KABHILABHIGHAMBO

JF-Expert Member
Jan 15, 2017
223
113
Mda mchache ilopita majira ya saa tisa unusu gari uliyokuwa imebeba mchanga imepata ajali ya kupinduka katika Barabara ya Sirari Msoma.

Mashuhuda wanasema gari hyo ilikuwa kwenye speed kubwa na imekutwa na mkasa huo wakati dereva wake alipojaribu kumkwepa mwanafunzi wa Nyamisangura sec aliyekuwa anaendesha baiskeli yake barabarani huku akiyumba.

Kwa sababu ya speed ya hiyo gari dereva alishindwa kuitalawa gari hiyo na hatimaye ikahama njia na kupinduka.

Raia wamefika na kutoka msaada wa kuibinua na kuokoa majerahi. Wote waliokuwemo wametoka wazima japo inadhaniwa kuwa ama mmoja au wote wamevunjika baadhi ya viungo.

(kulikuwemo na watu wawili kwenye gari hiyo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Roli ni nn? Sisi kule kwetu Moshi tunasemaga Lori.
 
Ila kama alimkwepa mwanafunzi na kupata haya yote basi Mungu nae atambariki zaidi. Mwanafunzi nae inabidi akatoe ushuhuda wa Mungu kumuokoa ktk ajali mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…