Ajali ya gari la mafuta Kibaigwa Dodoma

Ajali ya gari la mafuta Kibaigwa Dodoma

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ni hii ya ajali ya gari la mafuta lililodondoka na kulipuka katika eneo la Kibaigwa, hadi sasa hakuna taarifa kamili ya ajali hii.
fbb80399318b7a90f2c0d8daf223ecc3.jpg


e53818e7274394e4692aa75752ab4f39.jpg
 
Pole sana driver na mmiliki
 
Yaani bado chanzo hakijajulikana tu pamoja na hali ya wahusika???????
 
Watu washachukua vyao wamechoma gari, boss utalipwa na bima
 
Back
Top Bottom