Ajali ya bus la Najmunisa

Ajali ya bus la Najmunisa

thom71

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
36
Reaction score
9
Basi la Najmunisa limepata Ajali jana asubuhi maeneo ya Shinyanga lilikuwa likitokea Mwanza kuelekea Dar es salaam.

Ajali imetokea Kama kilometa tatu kutokea stendi ya Shinyanga Chanzo cha Ajali inasemekana tairi ya mbele ilipasuka na kumshinda dereva hivyo kupelekea Basi Hilo kupinduka.

Hadi natoka hapo kwenye tulip ni maheruhi tu ndio niliowaona hakukuwa na mtu amefariki.
 
Kama hakuna aliyepoteza maisha tunashukuru!
 
Baadhi ya picha
1406091561012.jpg
1406091615297.jpg
1406091643727.jpg
1406091499804.jpg
 
gari hili nało kwa ajali kiboko....
 
Basi la Najmunisa limepata Ajali jana asubuhi maeneo ya Shinyanga lilikuwa likitokea Mwanza kuelekea Dar es salaam. Ajali imetokea Kama kilometa tatu kutokea stendi ya Shinyanga Chanzo cha Ajali inasemekana tairi ya mbele ilipasuka na kumshinda dereva hivyo kupelekea Basi Hilo kupinduka. Hadi natoka hapo kwenye tulip ni maheruhi tu ndio niliowaona hakukuwa na mtu amefariki.
Namba ya gari?
 
Da nilinisurika kifo mwaks 2003 kwa case hyo hyo ya kupasuka tairi kwa basi hyo hyo ya najmunisa
 
Muwazi kuna kitu hapa njoo uone!!!

Pole majeruhi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom