Majira ya saa moja na nusu asubuhi hii imetokea ajali kati ya boda na gari ndogo yasemekana chanzo ni muongoza magari aliyopo eneo hilo. Nivyema traffic light zikaachwa zifanye kazi yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.