Ajali ya basi

JOGOO JINA

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
44
Reaction score
3
Zaidi ya abiria 20 wamefariki papo hapo na wengne majeruhi ktk ajali ya basi uko busega mkoani simiyu
 
Mungu tunaomba uwape hekima madereva wote, katika kuviendesha vyombo ivi.
 
madereve!madereva chonde chonde kwann mnamaliza watu?mnakimbilia wap?pole zao wafiwa loo!!!!
 
Daaaah ni hatareee ndugu zetu kila siku wanaisha kwa ajali,madereva wengi VIROBA sana
 
Imetokea maeneo ya Mwamanyiri katika barabara iendayo Sirari. Basi hilo ni mali ya kampuni ya Luhuye. Lilikuwa likitokea Sirari kwenda Mwanza. Maiti ndio zinatolewa kupelekwa hospitali ya wilaya ya Magu.
 
Mungu na awarehemu wote waliotangulia mbele za haki, majeruhi na ndugu pamoja na jamaa zao! Pasaka jamani ni kama November-March syndromes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…