...Sio mwehu..wanafundishwa na matajiri wao...So wehu ni wamiliki wa hayo mabasi.huyo kondakta mwehu
ni kweli kabisa juu ya ajali hiyo, tulikuwa tunaongozana na basi hilo mimi nikiwa kwenye BM coach toka morogoro, basi hilo liliacha njia na kupinduka baada ya kuchomekewa na gari lingine, kwa mbele kwa ghafla na dereva alishindwa kulimuda ikabidi aingie kushoto na kwenda na kulalia ubavu.