Ajali ya Basi La Sumry MBEYA

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
[h=3]BREAKING NEWSSS ZAIDI YA ABIRIA 50 WA BASI LA SUMRY LITOKALO SUMBAWANGA KUJA MBEYA WANUSURIKA KUFA KWENYE AJALI ILIOTOKEA MPAKANI MWA SONGWE NA MBOZI MBEYA[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]ZAIDI YA ABIRIA 50 WA BSI LA SUMRY LITOKALO SUMBAWANGA KUJA MBEYA LIMEPATA AJALI MAENEO YA SONGWE MPAKANI MWA WILAYA YA MBOZI CHANZO CHA AJALI HIYO NI KUWA ROLI LA MIZIGO LA KAMPUNI YA KANJILAJI LILIKUWA LINAIPITA GARI NYINGINE HIVYO KUHAMIA UPANDE WA BASI LA SUMRY NA NDIPO DEREVA WA SUMRY AKAONA KUA WATAGONGANA USO KWA USO AKAAMUA KULIINGIZA SHAMBANI ILI KUJIOKOA KATIKA AJALI HIYO[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"] MOJA YA MAJERUHI BENO GILBET MKAZI WA ZANZIBAR ALIKUWA ANATOKEA SUMBAWAGA KWENDA ZANZIBAR SASA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TEULE YA IFISI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]MAJERUHI MUSA KAPINUKE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]MAJERUHI CHALES KAUZENI 15[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]MUUGUZI ELMAT KAKAKU AMESEMA WAMEPOKEA MAJERUHI 47 KATI YA HAO WAWILI WAMEPELEWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA BAADA YA HALI ZAO KUWA MBAYA ZAIDI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]

HABARI KAMILI YA AJALI HII TUTAWAFAHAMISHA BADO TUNAFUATILIA

PICHA NA MBEYA YETU
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu polen majeruh i hope mungu atawahafu
 
Pole majeruh i hope mungu ataleta miujiza kila kit kitakuwa sawa, tunashukur kwa taarifa mkuu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tulitoa mapendekezo! Malori yanayotumia barabara hiyo ni mengi mno..kwa nini yasitengewe barabara nyingine? Kila siku chanzo cha ajali kwenye barabara hiyo ni lori....Poleni majeruhi!
 
Mungu mkubwa kwa kuwanusuru abiria wote.
 
Poleni majeruhi wote, Mungu awape nguvu mpone haraka.
 
Mungu mkubwa kwa kuwaokoa na vifo haya mabasi sasa hivi yakuangalia sana
 
Kuna haja ya kupanua barabara ziwe double!
 
Kwa nini majeruhi wanahudumiwa na wanafunzi peke yao hapo?!
Matokeo yake majeruhi wanapata huduma za kisangoma sangoma mfano kwenye pa kuweka bandage unawekwa plaster vs etc!!
Hapo si ndo mwanzo wa majeruhi kusababishiwa maambukizi anuai...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…