Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Mida ya saa nane nimekuta ajali ya bus la Mwendokasi likiwa limemtandika pikipiki, dereva wa pikipiki alionekana mzima tu sijui alichomokaje pale, ilikuwa ni njia panda ya barabara ya morogoro na Bibi Titi Mohamed.. bahati nzuri hakuna majeruhi Bus limekwanguka bamba kidogo na vipande vidogo vya fiber vimebanduka baada ya pikipiki kuondoshwa... na kwa upande wa pikipiki iliposogezwa na polisi usalama barabarani ilikuwa inasogea kwa Taabu means Imepata damege kiasi... then issue Dereva wa boda boda alikuwa anaomba asamehewe na dereva wa Bus lakini ghafla Traffic aliyekuwa anakagua magari pande ya pili akaja fast na kuanza kupiga picha...mchezo ukaisha wa kuombana ombana..
Bus lilikuwa limeziba njia so foleni ikawa kubwa...pikipiki ikaondolewa tukawa acha.
Dereva wa Bus huyo mwenye matege na wa boda huyo koti linaning'inia
Bus lilikuwa limeziba njia so foleni ikawa kubwa...pikipiki ikaondolewa tukawa acha.
Dereva wa Bus huyo mwenye matege na wa boda huyo koti linaning'inia


