Ni kitonga hapo mkuu napita mara nyingi hapo ni km hatuo kumi kutoka kwenye mbuyu mkubwa tena huyo dereva alikuwa anakwenda Dar kaipigia upande wa gema kahama upande wake akaiangushia upande wa gema maana upande wake ndio kuna bonde nikikusaidia kdg mkuu angalia hiyo barabara ni zege sio lami ni kitonga hiyo
shetani mkubwa ww uwaombeae binadam wenzio mabaya,kuna nchi gani isiyokuwa na utawala wa sheria? ni kweli kwamba ww,mamako,babako,dadako na ndg yako yeyote yule hawajawahi kupata shida na kwenda polisi? sio unaongea mambo ya k×mak×ma tu

nadhani ulivyo ukimuona police dudu washa linakutekenyatekenya unatamani uwawekee mkao wa chuma mboga, na niwajuavyo polisi kwenye mambo hayo hawarembi