Ajali ya basi la Budget mlima Kitonga

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,715


Ajali ya basi la Buget mlima wa kitonga imejeruhi watu wawili ambao wamelazwa hospital ya Ilula
 
Daaah pole yao sana na mungu awape afya
 
Imetokea lini mbona kama ni ya muda mrefu kidogo?
 
huyu dereva ni shujaa
kaipiga ukutani
tena ni upande wake.
 
Wanasemaga huo mlima ni accelerated mbona unaonekana upo constant?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…