Leo asubuhi kumetokea ajali Ubungo Terminal ndani ukuta umeangukia magari yaliyokuwa parking. Bado haijafahamika magari mangapi yamehusika na ajali na kama kuna watu wamejeruhiwa vibaya au kifo. Polisi ndiyo wanaingia sasa hivi.
Leo asubuhi kumetokea ajali ubungo terminal ndani ukuta umeangukia magari yaliyokuwa parking. Bado haijafahamika magari mangapi yamehusika na ajali na kama Kuna watu wamejeruhiwa vibaya au kifo. Polisi ndiyo wanaingia sasa hivi
Kwa wenzetu waliondelea na wenye demokrasia hawana kipengele hicho kwenye man made disasters.. Hapo kuna uzembe umefanyika na ni lazima watu wawajibike.. Sheria ichukue mkondo wake..