kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,140
Uwiiiiiiii!Na mimi ndio natokea maeneo ya huku,nimekwisha!!

Kutoka Mwenge kwenda Tabata/Buguruni ni shida. Yaani contena liko katikati
haijalalia gari kweli? maana haya madude nayo kaaah
Uwiiiiiiii!Na mimi ndio natokea maeneo ya huku,nimekwisha!!
Kutoka Mwenge kwenda Tabata/Buguruni ni shida. Yaani contena liko katikati
Afu hii midude inaangukaga sehemu ambazo ni very nyeti
Uwiiiiiiii!Na mimi ndio natokea maeneo ya huku,nimekwisha!!
Sogea hapa Kinyaiya Pub upate nyamachoma wakati ukisubiri Kontena litolewe