Ni kweli...
Anaitwa Bernadeta Minja she was my friend and School mate
May her Soul Rest in Peace
Nimepata taarifa usiku huu kuwa kuna ajali mbaya imetokea barabara ya Moro-Dom iliyohusisha basi la Mohamed Trans. Ajali imetokea eneo la kijiji cha Kiegea. Waliokufa hapo hapo watu 5 na majeruhi ni wengi sana karibu basi zima.
Walioko eneo la tukio watuarifu wana jamvi
Ni kweli...
Anaitwa Bernadeta Minja she was my friend and School mate
May her Soul Rest in Peace
Kweli haya mabasi ya mohamedi sio ya kupanda. madereva hawajali kabisa hata ukiwaambia wapunguze mwendo wanakuuona wewe punguani.mungu atulinde kwa kweli.
yaani hujakosea ubinadamu kwao nyuma, sijui ndo bange wanazovuta uibilisi tu yaani ukitaka msaada kwao ni shida kwa kweli.Pia makondakta wake wana roho mbaaaaya kila saa kugombeza tu abiria, hata ukimuuliza kitu kwa nia nzuri, siyapendi mabasi ya MTL at all
Imagine siku moja nilikuwa nimemsindikiza rafiki yangu pale ubungo, sasa wakati ameshapanda nikawa nimesahau kumpatia kadi ya muda wa maongezi ambayo nilishainunua, wakati narudi kumpatia walianza kunigombeza mimi na yule rafiki yangu as if sijui tuko jela ya afrika vile, tena serious kabisa wanatugombeza kama watoto vile. For me sikupendezewa na tabia zao hata kidogo. Nilijua ni mimi tu niliona hilo.yaani hujakosea ubinadamu kwao nyuma, sijui ndo bange wanazovuta uibilisi tu yaani ukitaka msaada kwao ni shida kwa kweli.