Ajali Mbuguni-Arumeru

Ajali Mbuguni-Arumeru

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
gari limeanguka maeneo ya mbuguni madukani aina za DCM T526AAL Lilokua na watu zaidi ya 45.watu wengi wamejeruhiwa ila hakuna aliyekufa mpaka sasa.majeruhi wamepelekwa hospital ya kata ya mbuguni.mashuhuda wanadai sababu ni mwendo kasi na ubovu wa gari lenyewe.ntaatachi picha badae
 
Poleni majeruhi wote,nina ndugu yangu anaelekea huko leo lkn baada ya kumjulia hali kumbe hajafika bado, asante kwa taarifa.
 
poleni..mtoa post ni ajali na si ajari?!matamshi yakushinde na kuandika nako kukushinde?
 
Wahusika wa ukaguzi wa magari lawama kwenu. Pole kwa majeruhi.
 
Ndo home! Tunakumbuka watu 56 hayahaya ma DCM!
 
majeruhi wengine wamepelekwa hospital ya mkoa wa A 13122012112.jpg rusha
 
13122012117.jpg
hawa ni watu waliokuja kushuhudia tukio
 
Duh! Pole sana kwa wahanga wa tukio hilo na Mungu awape afya njema! Hivi kuna uhusiano gani mwisho wa mwaka na matukio ya ajali?
 
Back
Top Bottom