Shetemba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 955
- 984
Ajali mbili zimetokea maeneo ya iyovi Iringa kwa uzembe wa madereva, ajali ya kwanza imehusisha basi la kampuni ya nganga lilokuwa linatokea Kilombero;
Na nyingine ya lori iliyosababisha kukatika mawasiliano kwa uzembe
Ajali ya basi imesababisha vifo na majerui kadhaa , dereva wa basi alikuwa kwenye mwendo mkali hivyo basi likamshinda
likatumbukia bondeni.
AJALI katika picha
(a)picha namba moja dereva mzembe akijaribu overtake lori jenzie kwenye mlima
na hapo hapo yote mawili yanaaribika
(b) picha namba mbili lori lilokuwa
Linashuka kutoka mlimani linakosa
Pakupita na kuamua kutumbukia
Bondeni
(c) picha namba tatu mabaki ya lori
Lilokataa kugongana uso kwa uso
na yale malori mawili
(d) picha namba nne asikari akisindikiza
gari ndogo iliyobeba majerui wa ajali
Ya basi
(c) mkwamo wa safari