EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Kamanda andika vizur au umebanwa kwenye MwendokasiNimepita mbezi mwisho saivi makutano ya barabara mbele ya Shel ya oilcom hiace na tipa ya mchanga zimegongana vibaya sikuweza kuchukua picha. Ijajua Kama kuna waliopoteza maisha
Nlikua kwenye daladala mkuu ila gari zimeharibika sanaKamanda andika vizur au umebanwa kwenye Mwendokasi
Hapana mkuu si unajua ukipewa lift huna sautirudi ukachukue picha
Utazisikia kwa kina keshoTaarfa bila picha hainogi
Kama wazima namshukuru Mungu coz sikutaka mtu afe, hasa Akiwa dhambini Kama weweAcha umbea dogo sisi wote tupo salama kabisa
Kwa mtazamo WA harakaharaka ile Hiace imeharibika vibayaPole Sana Kwa Wote
Mkuu umenikumbusha mbali saana; muda huo wa lift unaishi kwa shida sana; hata kama unataka apunguze AC huwezi kumwambia, sauti ya redio ipo juu lazima uvumilie....tena siku ambayo asubuhi unawahi job na mvua inanyesha sasa jamaa akusaidie lift...aisee!! Kila analolisema we ni ok ok ok Mkuu!! Huku moyoni unasononeka!!Hapana mkuu si unajua ukipewa lift huna sauti
Ndo lift ilivyo unataka kupiga picha jamaa anang'oaMkuu umenikumbusha mbali saana; muda huo unaishi kwa shida sana; hata kama unataka apunguze AC huwezi kumwambia, sauti ya redio ipo juu lazima uvumilie....tena siku ambayo asubuhi unawahi job na mvua inanyesha sasa jamaa akisaidie lift...aisee!! Yeye ndiye dereva, yeye ndiye mwenyekiti, katiby yeye, mweka hazina yeye!!