Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
majeruhi wapo?
Kuna magari matatu yamegongana muda huu eneo la Mbezi Magari Saba. Lori moja lilikuwa na shehena kubwa mno ya "mapipa" kana kwamba kuna lami ndani. Kumbe si lami, bali ni shaba ya magendo. Baada ya kupinduka, mapipa yameanguka na kupasuka, ndipo siri hii imebainika.
Jamani, magendo haya yatakoma lini?
Mungu amewarejeshea mikononi waja wake rehema na mali walizoibiwa. Itakuwa ni ujinga wakiziacha zirudi tena mikononi mwa manyang'au. Akili kichwani.
Una uhakika sio chanzo cha ruzuku ya Dr wenu?Hayo yote ccm wanajua
Kwani mkuu kutolipa kodi siyo wizi? Halafu bado wanatumia barabara tunazojenga kwa kodi zetu walalahoi.mkuu kitu cha magendo maana yake kimekwepeshwa kulipiwa kodi au tozo stahiki...haimaanishi kuwa kimekwapuliwa mahali
Huyo jamaa namkubali sana tokea siku nyingi, na kama sikosei ndiye yule yule mwandishi wa makala nzito nzito.Manyerere Jackton, haijalishi ni kwa kiasi gani lakini unaonyesha siku za mbeleni waweza kuwa nguli wa habari, nakukubali maana habari kubwa kubwa daima zinaanzia kwenye 'petty reporting' kama hizi.
Kwani mkuu kutolipa kodi siyo wizi? Halafu bado wanatumia barabara tunazojenga kwa kodi zetu walalahoi.
Mungu amewarejeshea mikononi waja wake rehema na mali walizoibiwa. Itakuwa ni ujinga wakiziacha zirudi tena mikononi mwa manyang'au. Akili kichwani.