Ajali Mbaya zaidi Duniani

Kwa wazungu hizo ni ajali mbaya ila huku kwetu hizo ni pre-accident.
Sure
Hua nikiona picha za ajali za wazungu gari inajulikana kabisa ni aina gani pia inakua ina rangi nzuri tu
Ila za bongo unakuta gari haieleweki mbele wapi .gari haijulikani ilikua na rangi gani
Nadhan madereva wetu wanazingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…