L Lady G JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 515 Reaction score 131 Jun 21, 2012 #1 jamani, napita hapa tegeta kuna ajali mbaya imetokea, inasemekana watu 5 wamepoteza maisha hapo2, lori la mchanga limegonga sehemu ya baa na kuua. Mwenye habari zaidi tafadhali.
jamani, napita hapa tegeta kuna ajali mbaya imetokea, inasemekana watu 5 wamepoteza maisha hapo2, lori la mchanga limegonga sehemu ya baa na kuua. Mwenye habari zaidi tafadhali.
K kaeso JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 548 Reaction score 97 Jun 21, 2012 #2 https://www.jamiiforums.com/habari-...kutisha-yatokea-tegeta-njiapanda-ya-wazo.html Iko hapo lakini wote wanaleta habari nusu.
https://www.jamiiforums.com/habari-...kutisha-yatokea-tegeta-njiapanda-ya-wazo.html Iko hapo lakini wote wanaleta habari nusu.