Crocozilla JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 469 Reaction score 335 Mar 1, 2013 Thread starter #41 joely said: raia wa kawaida ukiona ajali inayoshtua lazima utapata hamaki, so kuandika ujumbe ukiwa kwenye hamaki sio ajabu kukosea kosea. wacha dharau Click to expand... Joely 100%
joely said: raia wa kawaida ukiona ajali inayoshtua lazima utapata hamaki, so kuandika ujumbe ukiwa kwenye hamaki sio ajabu kukosea kosea. wacha dharau Click to expand... Joely 100%
U utantambua JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,367 Reaction score 324 Mar 1, 2013 #42 Crocozilla said: Kuna ajali mbaya imetokea Sam Nujoma karibu kabisa na jengo la mawasiliano. Gari mbili zimehusika moja kwa hakika ikiwa ni gari ya abiria. Najaribu kutafuta habari zaidi na mwanya wa picha. Hope Mungu amelinda uhai. Poleni sana wanandugu Click to expand... Pole kwa waliohusika na ajali...umeripoti na umeeleweka vyema. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Crocozilla said: Kuna ajali mbaya imetokea Sam Nujoma karibu kabisa na jengo la mawasiliano. Gari mbili zimehusika moja kwa hakika ikiwa ni gari ya abiria. Najaribu kutafuta habari zaidi na mwanya wa picha. Hope Mungu amelinda uhai. Poleni sana wanandugu Click to expand... Pole kwa waliohusika na ajali...umeripoti na umeeleweka vyema. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums