Hii habari imenisikitisha sana baada ya kusikia mmojawapo ya aliyekufa ni afisa kilimo niliyewahi fanya naye kazi fulani hapo Mangaka. Wapate pumziko la milele.........amina.imetokea ajali leo jion hapa ndanda Masas mkoan mtwara ya toyota land cruiser ya serikali STK fulan, hata picha sijataman kurushia maana ni hatari tupu, watu 2 wamepoteza maisha hapohapo. Maiti zilibanwa imebid gari ikatwe vipande vipande kuondoa miili. Mtu mmoja amebanwa masaa 3 akipatiwa huduma ya kwanza hapohapo. Nasikia ni maofisa wa wilaya ya Nanyumbu Masasi wakitokea semina. Yan mait zilibanwa dreva amekauka kimya amekufa, zoez la kuwatoa ni kwa mashine kuwachomoa ilishindikana. Halaf ni jiran kabisa na HOSPITAL ya NDANDA ni umbali wa mita 15 tu. Hongera kwa WAJERUMANI WA ABASIA YA NDANDA kwa juhud kubwa za kutoa miili ile. Wastarehe kwa Amani.
Naomba kujua majina ya Majeruhi na Waliofariki.
Kaka Yangu anafanya kazi wilaya ya Nanyumbu.
Ni darajani mmkuuMita 15 kutokea hospitali?
Ina maana ni pale darajani kama unaelejea masasi au pale getini kama unatokea ndanda madukani?
Vp umesikia chochote mpaka muda huu about ur bro? Umewasilianan nae?Naomba kujua majina ya Majeruhi na Waliofariki.
Kaka Yangu anafanya kazi wilaya ya Nanyumbu.
Afueni umekumbuka majina yao....Kaka hapo umetudanganya wamefariki watu 2 na sio 4kama ulivyo ainisha hapo kwenye habari yako ambaye ni dereva amaitwa Musa. Wa pili jina limenitika na alikuwemo DMO anaitwa Robert Lymo kavunjika mghu na hali yake sio nzuri. Mm nimeambiwa na brother angu anafanya nao kazi wako wote halmashauri ya nanyumbu
Hapo juu jamaa kawataja baadhi mi siwajui kabisa...Jaribu kufuatilia kwa ukaribu sana.Unaweza kunitajia majina ya marehemu?
rip. Kaka yako...[/QUOTE
Hajaconfirm kama ni kaka yake ameshafariki...So futa kauli yako.
Duh aisee...Kaka,yako nadhani alikuwepo humo..ni kama nimesikia jina lake
Kwa kweli hii ni hatari sana ... duh! ajali mpaka Land Cruiser inakatika katikati! ... duh! ... jamaa yaelekea alikuwa anakimbia kwa spidi ya ndege
Hatareeeeeeee sana!!
Mkuu Katavi ... asante kwa picha , ila hii ajali si mchezo nimeziangalia hizo picha nikawa naimagine impact iliyotokea yaani mpaka cruiser inagawanyika vipande!Picha hizo, kwa hisani ya mdau mmoja kule facebook..........
wasamaria wema wakijitahidi kuwanasua waliokuwa wamenaswa katika gari na maiti zilizonaswa.
ya wilaya ya mangaka mkoani mtwara .
Maswalai haya nadhani ungeyaelekeza kwa JK-the Prezidaa wa JMT.Poleni wafiwa,
WILAYA AU TRAFA???
Hizi wilaya NYINGINE MBONA HAZIFAHAMIKI KITAIFA ????
Mbon kuna mikoa mingine haipewi wilaya mpya...
Speed imechangia sana yanonesha.Kwa kweli hii ni hatari sana ... duh! ajali mpaka Land Cruiser inakatika katikati! ... duh! ... jamaa yaelekea alikuwa anakimbia kwa spidi ya ndege
Maswalai haya nadhani ungeyaelekeza kwa JK-the Prezidaa wa JMT.
Speed imechangia sana yanonesha.
Mkuu tumejuisha 'speed' kutokana muonekano wa gari baada ya ajali-impact ilikuwa kubwa(Head collision), Kama unayajua maeneo ya Ndanda Pale hamna ubovu wa barabara, na hata vikokoto hamna(Asphalt road),ni straight road njia ya masasi baada ya ile Junction ya kwenda hospital, sio sehemu risk kwa ajali na ni miaka mingi haijawahi kutokea ajali pale.usitoe majumuisho ya jumla, imekuwa ni kasumba sasa kila ikitokea ajali inayolaumiwa ni mwendo kana kwamba ni mkali, mimi nafikiri tuishirikishe fizikia ili tuwe na majibu ya kitaalam na sahihi.
vifuatavyo vinaweza kuchangia kusababisha ajali:-
1) ubovu wa barabara (mashimo/makorongo kwenye lami)
2) watumiaji wengine wa barabara
3) kutokuwepo kwa vibao vya ishara pembezoni mwa barabara
4) mchanga/vikokoto kwenye barabara za lami.
n.k
Kwa jinsi eneo lilivyo nadhani na spidi nayo ilichangia au ubovu wa gari kama ulivyosema.Mkuu tumejuisha 'speed' kutokana muonekano wa gari baada ya ajali-impact ilikuwa kubwa(Head collision), Kama unayajua maeneo ya Ndanda Pale hamna ubovu wa barabara, na hata vikokoto hamna(Asphalt road),ni straight road njia ya masasi baada ya ile Junction ya kwenda hospital, sio sehemu risk kwa ajali na ni miaka mingi haijawahi kutokea ajali pale.
Labda uniambia ubovu wa gari(Mechanical Factor) au dereva mwenyewe(ambapo naamini alikuwa mzoefu sana wa hiii njia).
Kaka naomba kama umekumbuka hilo jina itakuwa vyema kama utalitaja hapa.
Nina kaka yangu ni HR anafanya kazi wilaya ya Nanyumba anafahamika kwa Surname ya Ndinda, Je alikuwepo? Naomba kujuzwa tafadhari.