Leo jioni gari aina ya Landcruiser mali ya hospitali ya wilaya ya mangaka mkoani mtwara likiwa linatoka dsm katika kikao cha budget limepasuka taili la mbele na kuanguka eneo la darajani karibu na hospitali ya Ndanda na watu 4 wamekufa hapahapo na dmo bado hali yake siyo mzuri.
Itakuwa ngumu sana kwani nimepita pale nikakuta ajali na nilikuwa naenda lindi kikazi ila kulikuwa na watumishi wa idara mbali ikiwemo afya na kilimo.
imetokea ajali leo jion hapa ndanda Masas mkoan mtwara ya toyota land cruiser ya serikali STK fulan, hata picha sijataman kurushia maana ni hatari tupu, watu 2 wamepoteza maisha hapohapo. Maiti zilibanwa imebid gari ikatwe vipande vipande kuondoa miili. Mtu mmoja amebanwa masaa 3 akipatiwa huduma ya kwanza hapohapo. Nasikia ni maofisa wa wilaya ya Nanyumbu Masasi wakitokea semina. Yan mait zilibanwa dreva amekauka kimya amekufa, zoez la kuwatoa ni kwa mashine kuwachomoa ilishindikana. Halaf ni jiran kabisa na HOSPITAL ya NDANDA ni umbali wa mita 15 tu. Hongera kwa WAJERUMANI WA ABASIA YA NDANDA kwa juhud kubwa za kutoa miili ile. Wastarehe kwa Amani.

Kaka hapo umetudanganya wamefariki watu 2 ambaye ni dereva amaitwa Musa. Wa pili jina limenitika na alikuwemo DMO anaitwa Robert Lymo kavunjika mghu na hali yake sio nzuri. Mm nimeambiwa na brother angu anafanya nao kazi wako wote halmashauri ya nanyumbu
Naomba kujua majina ya Majeruhi na Waliofariki.
Kaka Yangu anafanya kazi wilaya ya Nanyumbu.