Kumetokea ajali mbaya karibu na eneo alilopata ajali regia mtema ambapo coaster yenye abiria iliyokua inatoka mlandizi kwenda moro imegongana na lori la mafuta.watu watano wamefariki na majeruhi wanakimbizwa tumbi

Mimi ni mkazi wa mlandizi hilo eneo lami yake ni mbovu ina mabonde pale chini ya kituo cha polisi mpaka ruvu darajani. RIP wote waliotangulia na majerui wote waponywe.
Da,,,,,,, pia nilikua nimekaa ndani gafla nikaskia kelele barabarani mida ya saa moja kumbe ajali ya pikipiki wao wameumia tu sana,,,,,, da! Waliopoteza maisha wapumzike kwa amani. Tuwe makini ktk vyombo hivi vya moto. Very dangerous
Hilo eneo kuanzia mlandizi hadi chalinze ni baya sana!! Watu wengi wamekufa, watu wanasubiri hadi danida watoe msaada!! Duh sasa sisi watanzania kwa nini tunalipa kodi? Waziri ananunu nyumba $ 410,000!! Hakuna wa kumuuliza katoa wapi? Je barabara itajengeka?
Tatizo kubwa bado naliona kwa madereva wetu, coaster dar-moro means anapita barabara hiyo karibia siku zote,anaielewa vzuri ilivo,kwann asichukue tahadhari? anyway madereva wengi including huyo wa tanker pia hawafuati alama za barabarani ambazo nyingiwazo pia zishaondolewa na wauza chuma chakavu